Hotline: (+255) 24-2230271 Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

 

Mabadiliko bei ya karafuu

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeweka utaratibu mpya wa ununuaji wa zao la karafuu ambapo sasa wakulima watalipwa kuendana na bei ya soko la nje badala ya ile inayopangwa na serikali bila kuzingatia thamani sokoni.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Unguja, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Zanzibar, Mhe Omar Said Shaaban, amesema uamuzi huo umezingatia hali ya sasa ya kiuchumi duniani na dhamira ya serikali kuhakikisha inabaki kusaidia ukuaji na uboreshaji wa sekta nzima ya zao hilo badala ya bei peke yake.

“Katika msimu huu, serikali imeamua kwamba itakuwa ikinunua karafuu kutoka kwa wakulima kwa bei ya soko. Utaratibu wa nyuma ulikuwa ni kwa serikali kuongeza kati ya TZS 4,000 hadi TZS 4,500 kwa kilo moja kutoka katika bei ya soko lakini sasa soko ndilo litaamua bei.

“Kwa mfano, bei ya soko kwa karafuu ya daraja la kwanza kwa sasa ni TZS10,350 kwa kilo moja lakini mkulima alikuwa akilipwa TZS 14,000. Kwa hiyo, badala ya kumlipa mkulima TZS 14,000 kwa kilo, sasa mkulima atapata asilimia 80 ya bei iliyoko sokoni.

Read more...............................................................................................

   

RED CHILLI

TZS 3,000

  

Zanzibar Cloves

TZS 3,000

    

BLACK PEPPER

TZS 3,000

     

CINNAMON POWDER

TZS 3,000

   

Clove Stem Oil

 50mls   TZS 5,000

  20mls   TZS 3,500

  10mls   TZS 2,000

    

Eucalyptus Camaldulensis

 50mls   TZS 5,000

  20mls   TZS 3,500

  10mls   TZS 2,000

   

Eucalyptus Citriodora

 50mls   TZS 5,000

  20mls   TZS 3,500

  10mls   TZS 2,000

    

Cinnamon Leaf Oil

 50mls   TZS 15,000

  20mls   TZS 7,000

  10mls   TZS 4,000

  

Lemon grass Oil

 50mls   TZS 15,000

  20mls   TZS 7,000

  10mls   TZS 4,000

 

Sweet Basil Oil

 50mls   TZS 15,000

  20mls   TZS 7,000

  10mls   TZS 4,000

Contact Us
Why ZSTC?

We offer the best quality of Cloves in the market that has a strong taste and aroma. We offer the best price and it is negotiable.  Considering our terms of sales we do on-time shipment of your purchases. We provide free samples while attempting to try and purchase.

We're Open :0730 -1630Hrs EAT Mon-Friday
Sunday and Public Holidays: Closed